SURAT AL KAHF
"LEO NI SIKU YA IJUMAA NDUGU ZANGU, TUJITAHIDI KUSOMA SURAT AL KAHF TUPATE NURU YA ALLAH." BY SHAABAN DAUDI (SPEECH GENIUS)
KUFUNGA SUNNA
By speech genius
KHABARI NJEMA NA ANGALIZO
By speech genius
Katika Hadithi sahih imeelezwa kwamba milango ya peponi haifunguliwi isipokuwa katika siku mbili jumatatu na alkhamis. Na kisha kila mja asiye mshirikisha Allah na yeyote au chochote, husamehewa madhambi yake, isipokuwa kwa mtu ambaye katika moyo wake anachuki dhidi ya ndugu yake, itasemwa waacheni (wazuieni) mpaka wapatane.
SIKU YA JUMATANO
By Speech genius
Katika Hadithi sahih imeelezwa kwamba siku ya JUMATANO Allah aliumba mwangaza.