About
Pamoja, funguka,omba msaada, ongea
Tunajua jinsi ilivyo ngumu kuishi na maumivu moyoni na akilini. Haupo peke yako na wengi tumepitia kama wewe. ongea nasi kwa pamoja tusaidiane kupona.
Upendo, urafiki,undugu.
Amka, Anza tena, usikate tamaa.